Recent content by Emmanuel gubabu

  1. Emmanuel gubabu

    Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Subiria atakuletea 😂😂😂😂😂 karibia unakua chizi
  2. Emmanuel gubabu

    Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

    Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili. Hiki ni mojawapo ya vijiji zaidi ya 20,000 nchini Japani ambavyo idadi kubwa ya wakazi ni wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi...
  3. Emmanuel gubabu

    LGE2024 Ni sawa kwa wenyeviti wa mtaa na vitongoji kutotoa taarifa kwa wananchi wao kuenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura?

    Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi mtaambiana wenyewe huko, nikawaza hivi hilo zoezi la kwenda kwa kila mtu kumwambia mbona gumu sana...
  4. Emmanuel gubabu

    Wananchi katikati ya kisasi hasira

    Bado unatumia historia za miaka ilee
  5. Emmanuel gubabu

    Wananchi katikati ya kisasi hasira

    Subiri uone mkuu mda bado
  6. Emmanuel gubabu

    Wananchi katikati ya kisasi hasira

    Kufikia Leo umekusanya kiasi gani mkuu maana maana una mawazo mafupi kweli unazani kila anae ongelea mpira Basi maisha yako magumu
  7. Emmanuel gubabu

    Wananchi katikati ya kisasi hasira

    Wananchi Tuna kisasi na Al hilal lakini katika kisasi hiko TP mazembe ana kisasi na sisi dah hapo patachimbika balaa
  8. Emmanuel gubabu

    Wakuu naombeni njia ya kufanya ili kukata harufu ya pombe mdomoni

    😂😂😂😂😂😂😂 et ukinywa mnaachana si uchague Kati ya pombe na mkeo kipi kizuri ndiyo ushikirie kwa mikono miwili
  9. Emmanuel gubabu

    EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

    Akili anazo sana tu sema bado anakupenda huyo
  10. Emmanuel gubabu

    Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana

    Hatimae tumefikiwa tulio oa kwa maboss kumbe huwa mnatufikiria na kutuonea huruma pia😩😩😩
  11. Emmanuel gubabu

    Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Usiache kumunyonyesha mtoto Kama mimba yako ni Chini ya miezi Saba endelea hivyo hivyo pili unatakiwa sasa kula vyakula vitakavy kupa wew afya nzur Kama vile nyama maharage viazi mchicha samaki nk fany hivyo halaf unatakiwa upate unga wa lishe kwa ajili ya mtoto nasema ivo kasabab hata mm mke...
  12. Emmanuel gubabu

    Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

    Ngoja tuone wasipo wapa adhabu watatukuta huku tuwa hukumu sisi wenyewe
Back
Top Bottom