Diana kuchafuka anaweza akawa hachafuki kwenye macho ya walimwengu lakini ukweli unabaki kua tofauti kwenye Royal Family kwa required standards of decence, maana maadili yake hayakuendana kabisa na viwango vya familia ya kifalme.
Diana alikua muhuni tu ambaye hakuna familia yoyote ya kifalme...
Huwa nacheka sana nikiona watoto kama wewe na wajinga wengine wengi hapa jukwaani wanaongea uongo kwa kujiamini pasipo kujua.
Katika mkutano wa Berlin kuna mataifa sita tu ambayo hayakujitwalia makoloni Afrika japo walishiriki mkutano huo, nayo ni:
1. Russia
2. USA
3. Austria-Hungary,
4...
The Global shift in energy, from Fossil fuel to Cleaner forms of energy ndo itakua mwisho wa kiburi cha wauza mafuta.
Marekani na ulaya wanategemea sana energies zinazozalishwa kwa Fossil, na wao hao hao kupitia miavuli ya UN & EU ndo wanaendesha campaign ya Sustainable Environment. Yaani kama...
Alfu atakuja mtu mmoja hapa alielewa anakwambia Germany, France, UK na wengine wa Ulaya watamkana US. Yaani hawajui US alishaweka mizizi na misingi ya kutawala Dunia mihongo zaidi ya 7 nyuma.
Tukiwaambia lile taifa linaplan miaka 50 mpaka 100 mbele watu wanaona blah blah blah. Wanadhani sijui...
Na hii ndo sababu kubwa ya Ulaya magharibi kuwa marafiki wakubwa sana wa US, maana mpango huu wa kufufua uchumi (European Recovery Program) ulikuja na masharti ambayo Ulaya isingeweza kuyapiga chini kutokana na kuwa ilikua imeharibiwa sana na vita lakin pia mikataba ya plan hii ilikua na Non...
Kama huwezi kuona kuwa ukigeuza maswali na kuwa statements za kawaida unapata majibu ya swali la mleta mada, basi utakua na matatizo sio bure.
Huwezi kusoma between lines kuona majibu! Au shule hesabu za Word Problems zilikupiga chenga?
Vipi kuhusu figures of speech kwenye kingereza hukusoma...
Mkuu wasamehe bure tu. Tatizo madogo wakishamiliki smartphones wanadhani kila kitu ni ushabiki na hisia kama kucheza FIFA na PES.
Sometimes waga naangalia jinsi watu wanavoleta ushabiki bila background knowledge juu ya Geopolitics alafu naishia kuiskitikia nchi yangu; kwa hizi akili bora...
Nilitoa hii comment miaka 4 na nusu nyuma. Ilikua 2017 Kipindi Neymar ameondoka kila mda zilikua ni roumors za mara dembele mara Coutinho mara Verati. Kama shabiki wa Blugrana ikabidi nijitulize kwa kutoa mtazamo wangu juu ya Barca ilivyokua inaendeshwa kipindi kile.
Looking at it now, nabaki...
Mpumbavu ni wewe tu mkuu. Kama hujui hata tofauti ya mpumbavu na mjinga basi wewe ni mpumbavu, kilaza na na kichaa kwa pamoja.
You're still too young to have this fight with me lad. Go man-up and come back here stronger. If you can't learn the difference between you and I till now, then go find...
Mimi naandika kingereza paragraphs kwa paragraphs bila hata Auto-Correction na Auto-spelling settings kwenye simu yangu. So kukosea neno ambalo sijaliandika au kukutana nalo kwa mda mrefu ni kawaida, na typos ni kitu cha kawaida kwenye uandishi ambao haujahaririwa hususan majibizano ya haraka...
Yaani we ni mweupe kichwani. Rudi shule, akili yako inolewe upate maarifa ndo urudi hapa kubishana.
Kuandika hujui, hoja za msingi huna bado unazurura kwenye mijadala ya msingi inayohitaji uelewa wakati huna chochote kichwani.
Hebu ficha ujinga wako.
Bado narudia. Hujui kuandika na jifunze kuandika vizuri. Jifunze jinsi ya kutumia Panctuation, sio kupiga tu kelele.
You're just making noise, hamna kitu unafanya kwa uandishi wa namna hii.
Nimeamua kukuonyesha tofauti yangu na yako; kuwa mimi nikikosea ni bahati mbaya wakati wewe ni ujinga ndo unakusukuma kukosea.
Nimekuonyesha kuwa kosa kwangu ni "Error" wakati kwako ni "Blunder". Kama hujaelewa maana ya hayo maneno mawili kawaulize waliosoma Physics au Hesabu A- Level na chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.