hapo kwa kweli mama katokota zaidi ya kuchemka. afanye kwanza utafiti wa ni nini sababu badala ya kutoa tamko ambalo ninaamini hatoweza kulitekeleza maana halitekelezeki kwa sababu ni uvurugaji wa mipango endelevu. hata hao wakuu hawapendi hiyo hali iwepo mashuleni kwao ila inatokea kwa sababu...
Hongera na Ahsante kwa kutukumbusha tuliko toka, tatizo ni kwamba hatuna dira kwa hivyo basi tuendako hatupaelewi na hata kama tukifika hatutaelewa kama ndio hapo maana hatupaelewi.
Ifikie hatua tukubari kuwa AFRIKA sasa inaanza kuishiwa wajenzi wake wa mwanzo, hivyo basi, tuliobaki tujitahidi kuzitunza nguzo zilizo simikwa na wajenzi hao wa mwanzo kwani zikiporomoka sijui nini kitafuatia.
whether we accept or not, African governments are likely to be of the same kind. the group is said to be established in the year of 1995 to go against bad drugs, still the government assumes not to recognize it and that is not officially stated as a known group but is termed as a terrorists...
katika maisha, ukishindwa kuzitambua faida za umuhimu wako inabidi uoneshwe na kuzijutia gharama za kuupoteza umuhimu huo. hivyo basi hilo litakuwa fundisho kwa tanzania japo viongozi watajisafisha kwa kuwaponda rwanda na uganda ila ukweli utabaki palepale na nilazima itatugharimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.