Makinda awa Rais mpya Bunge la SADC

Makinda awa Rais mpya Bunge la SADC

Kwanza pongezi kwake. Pili SADC ni kama ilishakufa, nchi sirias ziko busy na mambo yao hazina muda wa kupoteza na taasisi mufilisi
 
..SADC wajiandae kujifunza Kibenglish (kiingereza cha kibena)!!
 
Please quote me: Makinda ata-prove failure vibaya sana. Kiingereza chenyewe mzigo.
 
Ww nafkiri sio Mtanzania, na kama ni Mtanzania ndio wale jobless sababu siamin kama uliomba kazi kupitia vyeti vako.
Ushawahi kuona neno "rakheli" uf@l@ mkubwa kwa kweli!

mama huyu ataenda kutuaibisha, kiingereza chake kibovu kama changu.
 
Back
Top Bottom