Recent content by Emmamkolomi

  1. E

    Chaguzi ndogo na uchaguzi wa serikali za mitaa CCM itapata anguko la kihistoria

    Nadhani ilikuwa vizuri uhitimishe maoni yako kwa kusema : Haya ni maoni yangu binafsi, usiwasemee Watanzania kwa sababu wengi wao wana uwezo wa kuchambua mambo kuliko unavyofikiria. Kuna watu tena hata viongozi wa dini ambao ukiwasikiliza unagundua kwamba wanamuunga mkono Rais. Unasema awamu hii...
  2. E

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Ndiyo maana siku zote nasema Safi sana Rais wangu Magufuli, kumbe kura yangu haikipotea bure. Mtu huyo huyo anakuwa :MBUNGE, MKUU WA MKOA, MJUMBE KWENYE BODI ZAIDI YA MOJA. Haa jamani nchi yetu sote. Haiwezekani na wala haipo kokote duniani zaidi ya Tanzania ambapo Mbunge kama mshauri wa...
  3. E

    Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Bado nina matumaini kwamba UKAWA wataingia bungeni ili kujadiri bajeti ya serikali. Wananchi tunapata faida gani kwa UKAWA kususa kujadiri bajeti ya serikali, kupambana na adui yako ni pamoja na kukabiliana naye ana kwa ana, lakini hii staili waliyoamua kuifuata haina manufaa kabisa kwa...
  4. E

    Zitto Kabwe kuwa dhidi ya Magufuli ni kujiua kisiasa!

    Ah! ndugu yangu wako wengi sana wa aina hiyo. Kuna mmoja hapo juu anasema kwa mtazamo wake Rais kupishana kauli na mawaziri wake na hili la upungufu wa sukari limefanya chati ya Rais wa awamu ya nne kupanda wakati ile ya Rais wa awamu ya tano ikishuka kwa kasi. Nadhani ni mtizamo tu na...
  5. E

    Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

    Kila mmoja na mtizamo wake, sitaki kuamini kwamba chati ya rais wa awamu ya nne inapanda wakati ile ya wa awamu ya tano inashuka. Hivi mahali ambapo rais anahangaika na wafanyakazi hewa waliozalishwa wakati wa awamu iliyopita na sasa ameanza kuhangaikia hata wanafunzi hewa, amedhibiti matumizi...
  6. E

    VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016

    Suluhisho stahiki la kila anayechukua rushwa ni kumpeleka mahakamani ili ikithibitika afungwe. Kisingizio kwamba mishahara ni midogo hakitoshi kwa sababu hata wanaopata mishahara mikubwa sana wanachukua rushwa.
  7. E

    NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

    Namwaminia kamanda wa TAAKUKURU hapo ujue anamvutia pumzi mtu ili ajiandae kununua ndoo za kwenda nazo lupango. Huyu jamaa yaelekea alikuwa noma. Mara tuambiwe ati alinunua ardhi kwa thamani ya milioni 800 kwa hekta, mara huko Arusha alinunua ardhi kwa zaidi ya bilioni moja kwa hekta. Kina...
  8. E

    Waziri Kairuki: Jumla ya watumishi hewa 7,795 wamebainika, wasababisha hasara ya bilioni 7.5

    Huo ndo upotoshaji, waziri amesema serikali imegundua wafanyakazi hewa elfu saba bila kutaja wizara au taasisi zinazotuhumiwa kwa kosa hilo. Nani kasema ni walimu peke yao. Ni upotoshaji kusema wanaoonewa ni walimu peke yao.
  9. E

    Kauli mbiu ya "Hapa Kazi Tu" na likizo ya mapema ya Rais

    Rais alienda kwao kwa mapumziko ya wiki ya Pasaka. Kuna tofauti kati ya likizo ya mwaka na mapumziko ya sikukuu. Rais alienda Chato kwa siku tatu, sikukuu ya Pasaka ina siku za mapumziko nne. Wafanyakazi wengi tu walienda makwao kwa mapumziko ya Pasaka ndiyo maana hata usafiri kwa kipindi hicho...
  10. E

    Mizigo yapungua bandari ya DSM

    Ushauri huo ulipashwa kuelekezwa kwa serikali kwa maana ya wizara ya mawasiliano. Prof Mbawalla namwaminia hilo atakuwa ameliona na atalifanyia kazi
  11. E

    Baada ya UKAWA kugomea figisu za CCM uchaguzi wa Meya wa jiji la Tanga kurudiwa

    Tarakimu huwa haziongopi (numbers do not lie) kama madiwani wa UKAWA ni wengi kuliko wale wa CCM ni dhahiri huyo meya wa kuchongwa atapata taabu sana katika kuiendesha halmashauri. Mwisho wa siku uchaguzi utarudiwa, au kama haukurudiwa basi halmashauri itavunjwa ili wananchi wapate huduma...
  12. E

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Jibu ni rahisi sana. Serikali haina dini wakati lengo kuu la shule za seminari ni kufundisha mapadre. Kama serikali ingetaifisha shule za seminari maana yake mapadre wangekuwa wa serikali au kama ingebadirisha lengo lake basi mapadre wasingekuwepo tena. Mtu yeyote anayehitimu katika shule za...
  13. E

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Mtasema sana lakini bila shaka yeyote kwa yale anayoyatekeleza Magufuli ni dhahiri atapata wapinzani japo wachache na hasa wahanga wa hii oparresheni ya tumbua majipu. Wengi hatujazoea kuona wabunge wakifikishwa mahakamani kwa rushwa, wengi hatujazoea kuona viongozi waandamizi wakisimamishwa...
  14. E

    Bosi NHC, EWURA, wakana kulipwa milioni 36

    Wangetusaidia kama wangekuwa wawazi na kusema bila kificho ni kiasi gani wanapata pengine inawezekana hawalipwi milioni 36 au 40 lakini kiasi hicho bado kiko juu ya kile anachopendekeza Rais.
  15. E

    Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Ah, acheni porojo zenu zisizo na maono, inakuwaje boss anapata miliono 40 wakati mtumishi mwingine katika ofisi ile ile anapata laki tatu. Ni kweli kasoma lakini kasomeshwa tena bure na serikali. Msituletee hizo habari za sijui TGTS kwani wanaokaa na kupanga hizo TGTS ni akina nani kama si hao...
Back
Top Bottom