Recent content by Emmaloy

  1. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Hapa nimewaambatanishia picha ya kuonesha huo muunganiko wa hizo Rhesus factors. Hizo zenye Compatibility hazina tatizo ila yenye Incompatibility ndio ina shida na mara nyingi hupelekea hiyo changamoto ya mimba kuharibika ama mtoto kufariki punde tu baada ya kujifungua. Nawasilisha...
  2. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Kwa hii issue ya brother naomba nichangie kidogo, ni kwamba wote hawawezi kuwa na tatizo la uzazi maana mwanamke keshafanikiwa kushika ujauzito tena zaidi ya mara moja. Ila nini hupelekea hadi mimba kutoka.? Naomba nigusie sababu kama mbili hivi 1. Pelvic Inflammatory Disease (PID). Haya ni...
  3. Emmaloy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipo siku nitawaambia wanangu

    [emoji120]
  4. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

    Umasikini ni chanzo kikubwa sana cha wivu
  5. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Mshua naona sasa kaamua kukumwagia madini
  6. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Kama vocha ya 500 inakushinda unafanya nini huko mjini[emoji3][emoji3][emoji3]..@ Mshua master
  7. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Author keshaanza kuwa na mambo mengi[emoji3]
  8. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hongera sana kaka
  9. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Mzee Dingi hapaswi kuaminiwa hata kidogo[emoji23][emoji23]
  10. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Story nzuri, uandishi mzuri..keep it up
  11. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa hiki chama mnakubali vipi kila mara mtu huyu kuwemo kwenye Viti Maalum?

    Yani mwanaume mzima unakuwa na wivu kisa mwanaume mwenzio kuweka jina la mwanamke katika orodha ya uongozi...basi nenda jamaa akuweke nawewe then alipitishe jina lako
  12. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Tumuombee sana Profesa J

    Mwenyezi Mungu amjalie afya njema Prof J
  13. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya, Makocha huwa wanabadilika

    Nadhani huu unaweza kuwa uzi wa hovyo kuwahi kuandikwa hapa JF
  14. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Mambo kwa watangazaji wa hizi FM Radio ni finyu mno

    Ukitaka kuona jamaa hawana content kabisa..jaribu kusikiliza kipindi cha Mgahawa cha Wasafi FM..ni utopolo mtupu
  15. Emmaloy

    JamiiForums Tanzania Busega: Aua Mkewe kisha naye kujinyonga kutokana na tuhuma za kusaliti Ndoa

    Jamaa huu msemo wako wa Everyday is Saturday unaukubali kinyama[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom