Clinical officer ni MTU aliyesoma clinical medicine
Clinical medicine ni kozi ambayo ukisoma ndo unakuwa clinical office na assistance doctor(amo) ni kozi unayosoma baada la clinical officer kwa jina lingine ni advance diploma lakini kwa sasa haipo ukitoka co unaenda moja kwa moja medical doctor...
Me nlichaguliwa second selection na chuo nikaoneshwa na kozi pia lakin saiz imelud kama zaman selected tu ila chuo hawajaweka SAA sijui tatizo ganii.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.