Hii kanuni wanazingua na msenge alie itunga sasa mtu ana m3 unamlipa kwa awamu miezi sita mwisho wa siku hela inaisha bila kuifanyia kitu hii sera ni ya kipumbavu wafikilie upya watoto wa masikini ndo wanateswa just imagine una lipwa lak3 kila mwezi kwenye m3 tatu utaifanyia nini huu ni Umama...
Nakumbuka ili kuwa kabla hata mwezi kuisha wakaona ulaji kwenye simu bando zikabadirishwa Mara tozo Dah ama kweli msimu wa kula ukifika tutasahau màana njaa itakuwa imepoa
Apa mtanzania mwenzangu ivi unafikili hiyoo jeuri ya kusema amekuta mambo mrama anajaribu kuyaweka sawaa inakujaje"? Awamu hii walipo shika usukani tuu maisha yalibadilika pengine mwenzangu upo sehem moja huenda hujazunguka ndani ya inchi ndo maana point zinakuja Kama unakaushabiki, Samahani kwa...
Umechemka, awamu Fulani Vijana walipata Ajira tokana na miradi mingi ya maendeleo mishahara kwa wakati ila kwa Sasa ata watoe Ajira million elf 10 hamna Cha maana mamboo yashaenda mrama"
Nipo maeneo ya manispaa ya kahama kijiji Cha lowa kitongoji Cha ifukili napenda kuuliza ivi kulipia helaa ya kufungiwa mita lazima uwe umeshafanya wayalini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.