Recent content by Emma M Bai

  1. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

    Yangekuwa mapenzi ungeelewa tu
  2. Emma M Bai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa haraka

    Ngoja tuone watalam Labda kuna jipya
  3. Emma M Bai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa haraka

    Hapa police tu mtu ambae nilikabidhiwa afuatilie tiyari nimeshamlipa laki 1
  4. Emma M Bai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa haraka

    Nimeibiwa simu naomba wataalam wanisaidie kuipata zawadi nono itatolewa Jina la simu Tecno ca6 camon cm Imei number ninazo. kwani nilienda police lakin sikupata ushirikiano wowote RB ya police ninayo kwa atakaye fanikisha zoezi atafurahi. Naomba kuwasilisha
  5. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Kuna watu wapumbavu huku jamiiforums kama huna cha comment au kushaur si ukae kimya tu mnazingua kuna mjinga mmoja namwangalia tu
  6. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Nina sh. 20,000 naomba mnishauri biashara ya kufanya

    Tunapaswa kuwa na watu kama wewe wenye msaada kwa jamii hongera kwa ushauri wako mzuri Kuna watu wana lugha chafu humu me nawaangalia tu dawa ipo jikoni
  7. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya rejareja (chumba na sebule) na faida zake

    Kichwa Kichwani cha habari na ujumbe uliomo kwenye meseji tofauti kabisa na mategemeo ya msomaji anaefungua ili kusoma kilichomo
  8. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Uchawi na mafanikio

  9. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Uchawi na mafanikio

    Kuna uhusiano gani kati ya mafanikio yako na uchawi ushirikina? Mafanikio katika nyanja zote ni lazima nguvu za Giza zihusike ? Kwa wale mnaotumia nguvu hizo naomba mtupe uzoefu wenu kulingana na eneo lako ulipo na the way uchawi unavyokusaidia Mungu humlinda anaejilinda je utajilinda...
  10. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji nguli Bagamoyo

    Hapana brother
  11. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza sigara na vocha

    Ushauri wako
  12. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza sigara na vocha

    Ahsante brother
  13. Emma M Bai

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza sigara na vocha

    Mkuu naomba utumie kiswahili english me sielewi
Back
Top Bottom