....sifa hizo si kwa polisi wetu labda kwa polisi wa ulaya...polisi wetu rugha zao ni zakejeli na uzalilishaji kwa mtuhumiwa pia wanakuhukumu kabla ata awajakusikiliza. yupo afande mmoja kituo cha polisi mjini mwanza kati japo simkumbuki jina uyo ndie anazo sifa zote za kuwa mlinzi wa RAIA na...
.....shida sio nimekaa wapi tatizo ni kwa polisi kunyanyasa RAIA polisi wetu ukiwa na kesi ata yakutokuoga watakunyanyasa mpaka ujute...sio watu wakutetea kabisa
....hoja yako ni ipi hapo mkuu? kwamba hawakutoroka kizembe au kwamba polisi hawajausika kucheza ilo dili? Kwa mazingira ulioyaelezea ni ngumu watu 17 kutoroka kwa wakati mmoja bila polisi kuhusika. Tukisema mahabusu waliwazidi polisi mbinu basi tukubaliane awa polisi wetu hawafai tena kulinda...
.....ila aisee kama umesepa wakakunasa utapigwa mpaka ufanane sura na mbunge wa zamani wa bunda. sijui anaitwaga nani yuleeeee. Pia nashauli polisi wote waliokua zamu siku iyo wapelekwe jeshini wakapigwe mpaka wachakae watasema ukweli walipewa ngapi
. ...polisi sio watu kabisa ukiwa na kesi watakugeuza mpesa tena kwa biti Kali ata akitaka kwenda kuhonga lazima akubebeshe wewe...bora wafukuzwe kazi waje kitaa machinga tuongezeke mzee baba aendelee kuuza vitambulisho vyake.
...hahahaaaaa noah nguruwe au zile Noah za kwenye fix za jiwe baada ya kushiba makande akaja kutufunga kamba. siku wanaume kweli kweli wakija na ndege yao kutoka marekani wakaongea kidhunguuu jiwe atasema iyo faini ilinukuliwa vibaya ilikua ni buku 5. hahahaaaaa nchi hii mambo mengi mda...
.....ipo haja yakuunda kamati kumchunguza ndugai inawezekana kuna kayuda alipenyezewa ili kulinda uovu wa rais wa pap...Tanzania tunajipambanua ulimwenguni kote kupambana na ufisadi alafu anatokea mtu ndani ya bunge letu takatifu kufanya maamuzi ya kutaka kulinda fisadi la kamerun na...
....Tokea atamke kwa misifa kwamba afanyi kazi na cag ila riport yake ataofanyia kazi!! nikajua hapo hakuna mtu kuna suti imevaa mwili wa mtu. ata taarifa ya mh.masele na CAG alivyokua anaziongelea jana ilikua kama amepanic na amejiandaa kuwakomoa sasa kiongozi wa namna hii iko siku ataliingiza...
....kama waathirika wa tetemeko bukoba michango waliochangiwa na wananchi wenzao wanyonge hawakuipata sembuse ayo makitu ya kidhunguuu!! Wakati nasikia jiwe anawachukia wadhunguuu! Kwavile rugha yao ni ngumu
....hakuna watu wanaouzi kama wafanya kazi wa nssf mwanza wanajiona miungu watu yaani kufatilia mafao imekua adhabu nchi hii tokea January nimefungua madai kila siku imekua dana dana tena wanajibu hovyo utazani pesa zangu ni Mali ya baba zao. Kwa dhuruma hii mliotufanyia wananchi kupitisha...
Huu ujumbe umfikie jiwe na wateule wote wanaoishi kwa kujipendekeza wakati wanaumiza binadamu wenzao ili kulinda matumbo yao na sifa bandia kwa bos wao.
Zamani niliwai simuliwa eti wadada walikua wakitaka kupigwa na wapenzi wako wanavua nguo zote wanalala kama mende anakata roho jamaa hasira zinaisha anafungua ukurasa wa kupeti peti! Sasa najiuliza yule jamaa akivua nguo kama akivyosema mweenyewe atachuchumaa atalala au atatembea anatetema na...
hahahaaaaa akivua mnistue nimeandaa mfuta ya mgando nimpake mwili wote kisha nimpeleke kwa wajela jela nikamtoe sadaka najua wataniombea niishi miaka mingi kwa zawadi iyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.