Recent content by emily martin

  1. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Naanza na kumjibu 'katavi* Hivi unafikiri kilakinachotokea iwe ni kizuri au kibaya kinamuathiri nani km siowewe au mm mtu mwenyehali ya chini.unaposema kuwa hela siomchezo yani kanakwamba Askofu Gwajima amepewapesa ili ampambe lowassa hizo fikra kwanza ondoa .MTU anapoonyesha juhudikatika...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    KUHUSU KILICHOTOKEA NYUMBANI KWA ASKOFU GWAJIMA LEO. Polisi wamefika nyumbani kwa askofu Gwajima mnamo majira ya saa kumi usiku, na walikua wakijaribu kuruka ukuta, lakini walionekana kushindwa na mmoja wao alisikika akitoa taarifa ya kuwa wameshindwa kuruka kwasababu ya electric...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Ukiona umefikia hatua ya kutoa matusihumu ujue kuwa kunaukweli umeshaujua na umeshaelewa nini kilichopo hivyo roho inaumasana unapojua ukweli alafu unajaribu kutumiakila njia kugeuza ukweli uwe properganda . Natumia kauli hii "kalalee zako Mzee" Huna hata uwelewa bado unarudi katika ushabiki...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Stimming ganinzuri yakukuza na kufanyanywele zisiwe nyepesi ziwe strong
Back
Top Bottom