Recent content by emie emie

  1. E

    Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    UKWELI WA WAMAREKANI NDIO HUU WASIZUNGUKE MBUYU....BBC NDIO ISHASEMA Wakumbuke kila nchi inatamaduni zake na mipaka yake ya uhuru....... Mr Makonda has] also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of...
  2. E

    Denmark withholds aid and cancels minister visit to Tanzania over human rights situation

    Tanzania haijafikia kuwa na watoto wa aina hiii kabisaa.. Hatuna...bado tunamshukkuru Mungu kwa kinachopatikana
  3. E

    Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

    DAHH inanoga kuisoma na kuilewa ila ni ndefuuu
  4. E

    Denmark withholds aid and cancels minister visit to Tanzania over human rights situation

    Bora tufe masikini ila hatutaki ushetani wao............Tuanze kukumbwa na Moto na matetemeko na sunami...Mungu anatupenda
  5. E

    Sakata la mauaji Uvinza, Kigoma: Zitto aanza kuibuka kidedea, Lugola amuagiza IGP kuwachukulia hatua vigogo wa Polisi mkoa na wilaya

    Kuuliwa watu 100 si mchezo...imekuwa vita ??? Zito ameongezea chumvi hapo...Watu mia hata vyombo vya habari mbali mbali vingeripoti yaani si suala ambalo lingekuwa kimya namna hiyo......Zito wakati mwingine akiwa anatoa taarifa zake aseme zile zenye uhalisia wa jambo husika asiongeze...
  6. E

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Mwenyeji wao alikuwa wapi..wamtaje..wanakujaje kienyeji tuu......hawa waongo...kwanza madoctor gani mashangingi hivyo?
  7. E

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Wanaijeria kwanza dunia nzima wanaogopewa, ni wababaishaji, wezi, matapeli, wabeba unga..lazima wakifika sehemu kama tanzania waogopewe..... Wakae huko huko kwao hatuwataki
  8. E

    Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

    Kwanza kiusalama wa nchi Nchi (Serikali) haiwezi kufanya uhalifu kama huo kamwe sababu kwanza ni kuhatarisha usalama wa nchi kimataifa....na hasa ukizingatia Mo ni Public Figure...hapo ilipo habari zitakuwa zishafika hadi kwa Rais wa Marekani..Mtu kama Mo ni mkubwa si tu kwetu hadi kimataifa...
  9. E

    Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Tambua MO DEWJ ni public figure. kimataifa...lazima iwe hivyo...
  10. E

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa.. Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa Madaraja yanajengwa Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa...
  11. E

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    Na hao ulowataja sisi vijana hatuwafahamu ni wa enzi hizo hatutaki mazoea, bali tunataka chuo kituonyeshe ya sasa...tusiongelee ya kale....sasa hivi kimemtoa nani akapeperusha bendera ??
  12. E

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    hana lugha nzuri kabisa...lugha isiyokuwa na staha..hata kiongozi wako akukere vipi huwezi kumwambia shika adabu yako...hata kama umemzidi umri...kuna lugha ya kutumia
  13. E

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco napenda kuwapa hongera sana kwa mwaka huu hakika mmejitahidi sana katika suala la ukataji umeme hovyo...Ila sifa hizi nimpe zaidi Rais wetu, maana kama si yeye inaelekea kulikuwa na watendaji wabovu ambao bila Rais kuwa mkali wasingekuwa na nidhamu kama sasa walivyo.. Hongereni...
  14. E

    Zanzibar: Viongozi watano wa Jumuiya ya Maimamu watoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Hizi ni hisia zangu, kuna chokochoko za kichini chini za kuchafua serikali ya Magufuli....Tundu ashapona sasa wanaanza kutafuta lingine.. Kibiti ilitoka, wakaja wa kumjeruhi Tundu, sasa wanaanza maovu mengine. Siasa hizi....Nchi za africa sijui zina tatizo gani.
Back
Top Bottom