Recent content by Emergence Login

  1. E

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel heshimu wakubwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

    Basi atakuwa mentally unfit.. si Kuna clip fulani nesikia akimtukana NAPE? kaja tena kwa LOWASSA?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ilikuchukua dakika ngapi kuchagua jina la kutumia hapa JF?

    Nilipigwa ban hapo hapo nikasema nipate ID yadharura... So unaona id yenyewe inasomeka vip?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimecheka mpaka machozi

    Nikiangalia avata yako na jinsi ulivyoweka mikono hupendezei kuchangia mada kwa style hizi... Vinginevyo we ni mnafiki
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mbona wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wa vijijini?

    alafu hao wa kijiji wakiujua mji mara nyingi wanawasahau waume zao na kuwa viruka njia
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mtoto anaenyonya anaweza kuathirika endapo wazazi wakifanya mapenzi?

    Wasalaam wakuu, Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya mapenzi bila kinga yeyote wakati mtoto ananyonya kunaweza kuathiri ukuaji wake hasa uzito, kuongeza...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

    Wanaume kamili hawazibusti mashine kwa mafuta...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunakosa mengi mtaani

    Acha kazi kabisa uendelee kusuuza macho..
  8. E

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ulazima wa kuwa na namba na picha za mpenzi wa zamani?

    Tatizo sio hilo... Shida ni kuwa jf inawapa access watt wadogo, wanatudhalilisha sana
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Mbowe Zurich, Uswisi!

    Ulimwambia kama utakuja kumuanziashia uzi JamiiForums?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nimeamkiwa na mzungu

    Nimeamkiwa na mzungu..
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kama kweli huyu kijana ameambukiza HIV hawa mabinti, basi vijana wajihadhari

    jamaa ni wa uganda ila walioambukizwa ni wa CBE, IFM nk
Back
Top Bottom