Recent content by Emay

  1. E

    Mwenye kufahamu hii nguvu ya kiroho inatoka wapi

    Hii kitu mi mwenyewe inanitokeaga, nikauliza baadhi ya watu wengine wakasema mapepo ukaombewe lkn wakasema magumu kutoka na pengine yasitoke kwasababu ni nguvu ya mizimu Swali ninalojiuliza, hii kitu ina madhara gani kwa muhusika na je, imani yake juu ya Mungu inakuwa batili? kwasababu wànasema...
  2. E

    Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

    Ghetto, she got one - Ngwair Ice cream - Noorah Seya - Papii na baba yake kitambaa Cheupe - King kikii Njiwa - bi Patricia Nikikupata - Ben Paul Mama - Banana Zoro Action, pwaa - C pwaa Shida - Mbaraka Yalaiti - bi Kidude Shukuru -Ay ft sauti soul alikufa na ngoma -FA ft J dee African queen...
  3. E

    Vijana Wa Hovyo. Tukutane Hapa

    Khaaa wewe kweli wa hovyo 😆
  4. E

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    naona mambo mazuri yanazidi kutaradadi humu Priscallia makofi kwako
  5. E

    Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

    atakuwa linah mwingine sio wa sanga, yaan Zuchu na.... mmh
  6. E

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    mmmh weka tena ile ya cku ile
  7. E

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    anzisha basi...
  8. E

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    ukaango
  9. E

    Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba
  10. E

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    kaka mkubwaa, sawa sawa
Back
Top Bottom