Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
Habari wadau, desktop yangu ilikua inapiga kazi fresh tu ina run windows 7 64 bit, sasa gafla wakat wa kuwasha naona inaishia kwenye logo.
Nikajarb hii solution, nikatumia bootable flash ili nipate kufika kweny cmd, maana hata nikijarbu kuipeleka kwa safe mode still ilikua inafika sehem...
asante kwa inspiration, coz my point is to become software developer so nilikuwa nataka nianze na kitu ambacho hakitanikatisha tamaa then baada ya kuwa comfortable ndio nianze kupambana na lugha nyingine ambazo kwangu naziona ngumu kidgo like JAVA
asante kwa ushauri mzuri nitaufanyia kazi kikamilifu kwa uwezo wa mungu, kama unafahamu resorce nzuri za kujifunza na kupractice php naomba unisaidie pia,
yani nimefuatilia huu uzi na comments za watu, mpaka sijui nianze na kipi maana naona vyote vizur, baada ya kuwa na uelewa wa html, css, php na java, nikasema ngoja nianze kukomaa na language moja moja nikiimaster ndio nashift kwa nyingine, nikasema nianze na java huku nikiwa natumia android...
yani umenikata maini maana nilikua na wazo moja tu la kwenda lakini baada ya kusoma hii post yako now nimepata mawazo mawili hapo ndio napiga hesabu aidha niende au nisiende:rolleyes::rolleyes:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.