Wenye ujuzi wa kuflash simu ambayo imekuwa locked kwa single line tu.

Ngatu

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
261
184
Habari ndugu ...niliuziwa simu ambayo imekuwa locked line moja tu. Yani haiwez ikafunction bila kuweka hiyo line na internent yenye kasi (3G) imekuwa locked kwenye hiyo line tu.Na sehem niliyopo huo mtandao hauna (3G). Kuna kazi nashindwa kuzifanya kwa sababu mtandao upo chini ..naomba nisaidien bandugu ....
Nikafanikiwa nitamshukuru...​
 
Njoo ofisini kwangu Dar-Kariakoo na 30000 kesho.
Nipigie 0753093869
 
Ni Tecno model ipi mkuu, kama hautojali uko wapi kwa sasa?
Kama uko mbali nami naweza nikakutengenezea unlocked rom ukaflash mwenyewe kwa malipo kidogo tu.
msaada jinsi ya kutengeneza rom kutoka kwenye simu yangu ili niweze kuitumia kuflash simu nyingine
 
Back
Top Bottom