#SIASA: Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere amesema anamshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukaa na wapinzani kirafiki na kujadili suala la Katiba Mpya ili kupata muafaka wa kitaifa kama alivyokuwa akifanya Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na...
Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.
Kamanda Masejo...
#ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata.
Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii.
Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
Rais Joe Biden ametangaza hali ya hatari katika jimbo la California na kuagiza serikali kuu ya nchi hiyo kuongeza nguvu katika juhudi za kunusuru jimbo hilo kufuatia athari za moto wa Caldor uliozuka mwezi Agosti 2021.
White House imesema kuwa Agosti 30, 2021 Rais Biden alifanya kikao kwa njia...
Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka wa nchi hiyo kwa njia haramu (pasipo vibali) hali iliyopelekea kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.
Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000.
Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
Mwakilishi wa WHO nchini Afrika kusini, Maria van Kerkhove amesema kuwa wamegundua uwepo wa virusi vipya vya Corona aina ya C.1.2 na kusema kuwa virusi hivyo vimeonesha tabia ya kuzaliana mara 2 kwa wakati mmoja.
Imeelezwa kuwa virusi hivyo vimeripotiwa karibu kila mji nchini Afrika kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.