Recent content by Emanuel Bundala

  1. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Makonda leo saa nne Channel Ten, msikilizeni na kumtazama waTanzania

    Huo ni wivu pamoja na majungu,haiwezekani Leo eti mwenzako anafanikiwa halafu wewe unakuwa na wivu naye.Kwani wakati serikali Inamwajiri hawakumwona.Ongea vitu vya vya maendeleo chanya.
  2. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Majina na Tabia zake

    Vipi kuhusu akina masanja.
  3. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo hapa jamani?

    Mguu wa mtoto
  4. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je mnaweza kum-DATE msichana mwenye Makengeza?

    Mimi mwenyewe nina makengeza lakn mademu wanajileta wenyewe kama nini.
  5. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    Mpeleke chuo cha polisi akafundishwe kuamka mapema na kufanya kazi kwa bidii
  6. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Haka kamchezo katamu....

    :yell::heh::heh: tafuta nyingine
  7. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania Siri gani ambayo umeificha moyoni mwako ambayo hutakuja kumwambia mwenzi wako

    Siri ni yangu peke yangu,nikiitoa hapa,du!Siyo siri tena.
  8. Emanuel Bundala

    JamiiForums Tanzania USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

    Huyo amecheza hadi kachoka,kwa hiyo kaona huu ni muda wa kutulia ili ajenge familia.Hii ni kwa sababu ya age go.
Back
Top Bottom