sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
wana jamvi shkikamoni, leo mkuu wa mkoa wa dsm atakuwa chanel kumi live akisikiliza kero za wananchi ataambatana na wakuu wote waidara.
nimejipanga kumpigia SIMU NA KUMWAMBIA KUWA mkuu mmoja wa idara moja katika mkoa wake, anatumia vyeti vya Bandia kwa hiyo ndo kero yangu, je wewe utapiga simu na kumwambia nni saa nne akiwa hapo chanel teni? TUPIA KERO FASTA