Recent content by emanoti415

  1. E

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

    Uhakika upo maana nimechoka kusubili ombi lipo tamisemi kitambo sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

    Nipe connection
  3. E

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

    Nipe connection faster nifanye makeke
  4. E

    JamiiForums Tanzania Driving lences

    Imepote
  5. E

    JamiiForums Tanzania Madalali TRA ni wafanyakazi wa TRA au vipi?

    Hellow nikiwa na cheti Cha driving basic naweza pata leseni ya madaraja A2,B ,D Kwa gharama kiasi gani ?
  6. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Hamko serious hata kidogo

    Tanesco nipen msaada MITA yangu imetemper hii ni mara ya pili Sasa umeme unasoma kwenye kirimoti lakini hauwaki MITA namba inaanzia na 24
  7. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Printer copier HP Laserjet 1132' na Epson l 805 inauzwa

    Nahitaji hiyo l 805
  8. E

    JamiiForums Tanzania Pikipiki boxer x125

    Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

    asante sana, wall puty unaweza kuskim na kuta za nje?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

    uko sahihi kabisa kaka
  11. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

    Hujalazimishwa kucomment bro , jf ni sehemu ya kujifunza na kubadilishana ideas zenye manufaa, kuliko kuingia kichwa kichwa ukajikuta unapata hasara za ajabu. Kama huna msaada kaa kimya hujalazimishwa kucomment bro.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    naomba kujua umetumia gypsum powder ngapi kuskim ndani, na nje white cementi ngapi , rangi whether guard ndoo ngapi na nyeupe ya ndani ndoo ngapi. Pia rangi ya maji ndoo ngapi kwa ajili ya kuskimmia na undercoat.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

    ndiyo ipo dodoma
  14. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

Back
Top Bottom