Recent content by Emanoel

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

    Jaribu tu mkuu, usiogope kubahatisha.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta party time kufundisha Kemia

    Kwa uandishi huo wa Tangazo lako sidhani kama unaitendea haki shahada yako.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtukufu ni Mwenyezi Mungu peke yake
  4. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    Ni swali wanauliza
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

    Ngoja tumtafunie, maana mmemwambia kwa mifano haelewi... hatuna mkoa wa Bukoba Mjini, tuna mkoa wa Kagera. Bukoba ni Wilaya ndani ya mkoa wa kagera. Dr rudi darasani
  6. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imetosheka na walimu wa arts hawaitajiki tena

    Poleni sana walimu mnaosubiri ajira, hata mwaka jana yalisemwa mengi sana lakini mwisho wa siku tuliajiriwa.. Chamsingi ukipata ajira popote wewe nenda.Ukweli ajira ni ngumu sana. I feel your pain
  7. E

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Poleni sana kwa kuuliza maswali bila kujibiwa, haya ndio maisha yetu hata tukienda kwenye hii bank ya NMB. Unaweza ukahitaji ufafanuzi ila wahudumu wakawa wakali/ wakakutizama tu. Twendelee kuuliza maswali, yazidi kukaa foleni kama vile tunavyopanga mistari katika Bank yetu ya NMB. Mwaka huu...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Baya usilotaka kufanyiwa usimfanyie mwenzio
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kubadilishana idara ya elimu sekondari

    Njoo Kisarawe-Pwani, mimi nije Ilala, Kinondoni au Kibaha. Idala Sekondari
  10. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kisarawe - Pwani nije Kibaha Mjini -Pwani idara ya sekondari
  11. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kisarawe - Pwani nije Kibaha mjini - Pwani idara sekondari
Back
Top Bottom