Recent content by emaJenerali

  1. E

    Hodi jamani

    karibu sana najua umekuja kutafuta mchumba. mchumba umepata bado kupewa.
  2. E

    Maamuzi magumu ya wazazi/walezi chanzo cha kuharibikiwa kwa watoto.

    KILA mzazi anapenda kuona maendeleo ya mwanae yanafanikiwa kwenye maisha. Lakini Jitihada za mzazi/Mlezi zinafikia kikomo pale mtoto anapoonesha ukaidi wa kutosikia maoni, ushauri, na hata mafundisho ya Mzazi/mlezi na kujikuta akiangukia mikononi mwa wananchi wabaya na kukumbwa na madhila...
  3. E

    Bunge la Bajeti litazame upya Matatizo ya Wananchi

    BUNGE Maalum la Katiba limeahirishwa Aprili 25, kupisha Bunge la Bajeti ambalo linataraji kuanza mwezi wa tano mwaka huu. Bunge hilo Maalum la Katiba limeahirishwa huku kukiwa bado hakuna mwelekeo wa kupatikana kwa katiba ambayo kwa mujibu wa ratiba, Katiba ya Watanzania ingetakiwa...
  4. E

    Sekta binafsi zishirikishwe kwenye Malengo ya BRN

    MCHANGO wa sekta binafsi kwenye maendeleo ya umma utafanikiwa endapo Serikali itatambua umuhimu wa kuzishirikisha sekta binafsi kwenye mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN). Ni dhahiri kwamba, malengo ya (BRN) yanayolenga kuleta Maendeleo ya haraka nchini kwenye sekta mbalimbali kama Elimu...
  5. E

    Miongozo ya Mwalimu Nyerere dhidi Ukoloni Mambo leo

    WAKATI Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alitangaza vita dhidi ya maadui watatu yaani Ujinga, Maradhi, na Umaskini. Hawa ni maadui ambao kwa wakati ule Mwalimu Nyerere aliwaita ni maadui wa Maendeleo. Mapambano dhidi ya maadui hawa maradhi, ujinga, umaskini yalipita katika...
  6. E

    Ilikuwaje Azimio la Arusha likafutwa Zanzibar, kwenye kikao kilichofuata baada ya Nyerere kutoka?

    Moja ya hatua ambayo Mwalimu Nyerere aliona inafaa kupambana na maadui hawa ni kuanzisha Azimio la Arusha la mwaka 1967
  7. E

    Wenje awatuhumu wajumbe wa kundi la 201 kuhongwa!

    TUHUMA dhidi ya rushwa limeendelea kuliandama Bunge Maalum la Katiba, ambapo baadhi ya Wajumbe wa Chama cha Chadema wamekituhumu chama cha Mapinduzi kwamba kinatoa hongo kwa Wajumbe wa kundi la 201 ili waungane na Chama hicho ili kupinga hoja za Chadema. Tuhuma hizi zimetolewa jana Machi...
  8. E

    ....Toa maoni yako kupitia picha hii !!!!!

    Kwani huyo mama anataka nini, sijamwelewa vile?
Back
Top Bottom