unapotaka kujifunza ukikuta thread yoyote pitia kwanza majibu ya mwanzo usisumbie watu kwa kutaka kujiridhisha nafsi yako. swali lako lishajibiwa vizuri kabsa hapo nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina baby wangu anaitwa coco/
anapenda luxury hataki daladala ni mkoko/
kutwakutanga na njia kama mbwakoko/
uswazi hakosagi vigodoro na baikoko/
kwa umbea ye ni zaidi ya mnoko/
coco yupo kila chaneli /
anacheza mnanda mpaka singeli/
ila kiukweli baby ajuza /mapozi punguza
viuno koleza/hapo ndio...
imagine demu wako ametekwa sasa unaambiwa uchague mtu wakwenda nae kumuokoa kati ya Michael Jay white na Scott Adkins na hapo jambazi ni ton jaa
Sent using Jamii Forums mobile app
bodyguard wa ra raisi kwanza hawi mmoja. hivyo anapata vyoye hivyo.labda mi niulize maraisi wa Africa hawanaga double? Yule mtu anakua kafanana na raisi mia. then anaweza tangulizwa sehemu kama raisi kwajili ya kuchanganya wataotaka kumzulu raisi
Sent using Jamii Forums mobile app
afadhali umemwelewesha mzee. miaka ijayo usijeshangaa watoto wanafundishwa historia wanaambiwa wenyeji wa tabora ni waarabu hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
teknilojia karibu yote Africa na dunia ilianzia misri! kama umesoma historia sina haja ya kukuelezea hapa. na unaposema Africa elewa Africa ni ya watu weusi basi, asijekudanganya mtu akakwambia misri sijui ya waarabu, hakukua na kitu kama hiko zamani hao walihamia tu hapo kama mnavowaona hawa...
Wakuu sijaelewa kabsa huu mshahara ulivotoka, badala ya kupata kima changu cha kawaida napata 160. Nasikia kuna makato kwa wafanyakazi wote ni kweli hili.
ay na fa wameshinda kesi yao ya mda mrefu dhidi ya tigo, wakili maarufu aliewasimamia Albert msando amefanikiwa kuishawishi mahakama na kutupilia mbali rufaa ya tigo. hivyo AY na FA wanalipwa bilioni 2.1 na tigo kutokana na kuwahi kutumia nyimbo za wanamuziki hao kama caller tune bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.