Recent content by elsaan

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    hiki chama kina vyuma si mchezo. ila matapeli kinoma
  2. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    urusi ina wanaume wengi sana! wanauwawa daily mamia kwa maelfu ila hawaishi....👎
  3. E

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

    wewe unaona ni za uwongo siyo? uonavyo ni idadi chache au nyingi sana
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pole sana mdau,jipe moyo ipo siku huyu kenge atapasuka
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    we upo likizo tu.utarudi chamani kuomba kadi upya
  6. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    mods nao wana wivu kupitiliza.wao wakishazisave wanatubania.wanataka wafaidi wenyewe
  7. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    roho itamuuma sana kumwambia humjui.uwe unadanganya hata kidogo
  8. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    hapo kifuani,dah!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Sasa naanza kuamini hili litimu linamilikiwa na sisiemu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    huku ni mada ya walevi ,sio mambo ya simba na yanga
  11. E

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    ina uchawi mwingi sana hii
  12. E

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    dah haiwezi kusha kizembe vile asee. li sreies litamu sana hili
  13. E

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    huyu anatakiwa atuletee habari zaa series kaliii. the continental inaendelea lini jombii
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    sasa tuzibe nini wakati nanyi tushawapigaga kipigo hicho
Back
Top Bottom