Recent content by Elongolongo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwenu nyote

    Habari zenu nyote, Nashukuru kwa wote ambao mlinishauri kwamba nikasome kozi ya Auto electricity. Na hakika ushauri wenu nitaufanyia kazi. Ila kwasasa ninaomba kwa yoyote anayefahamu chuo chochote kizuri kilichopo Dar es Salaam ambacho wanafundisha vizuri course ya auto electricity na kwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinasifika kufundisha vizuri kozi za ufundi magari?

    Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    Nenda kwa Mwamposa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Shukrani sana big bro [emoji123][emoji123][emoji123]
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Mungu akusamehe kwakuwa haujuwi nilipi ulisemalo. Kama unaona ushauri huo unaonipa mimi ni mzuri na wamaana, jaribu basi kushauri waliopo katika familia yako...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Napenda kuwa fundi wa magari yote
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Asante sana!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Kuwa nani kiaje mkuu.. sijakuelewa samahani.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Njoo nikukutanishe na Toyota Altezza... Alafu ndio utajua kama kweli wewe bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

    Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari nimeshakuwa dereva mzuri tu, kwakuwa nilianza kuendesha gari kabla hata ya kwenda Veta kusomea. Lakini...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwangu tafadhali

    Asante kwa ushauri
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwangu tafadhali

    Asante kwa ushauri [emoji119][emoji119][emoji119]
Back
Top Bottom