Ni wakati pia wa viongozi wa dini kulipa gharama ya kukaa kwao kimya wakati wengine wakionewa.
Na kwa bahati mbaya sana viongozi waliobaki wataendelea sana kukaa kimya kwa kuwa sio wao ambao yamewakuta. Wanasahau kwa ipo siku, kama si wao basi wapendwa wao yatawakuta. Nobody is safe here.
ITV imeonesha ukomavu. imesimama kutetea kile inachokiamini. wengine nimesikia wamekubali na kuomba radhi. Uzee dawa. Ndiyo kila siku nikitaka taarifa ya habari ni ITV. (Independent Daima)
Ni kwali sio kazi yao. Ni government machinery gani ilikichukulia hatua Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ili ionekane kuwa kilitenda kosa la uchochezi?
Hahahaaa. Nacheka sababu ya adhabu inayohusu kutangaza habari kutoka chanzo chenyewe ambayo ni taasisi ambayo ipo kikatiba na kisheria. te-he, te-he, te-hee. LOL:p:p
Wananchi wataamua. HAKI na UCHUMI vitaamua. Hofu ni kwamba kuna viashiria tayari vimeshaanza kujitokeza vya kutumia mabavu. Ebu tuache CCM ishinde kwa sera mzuri badala ya mabavu. Mwisho wa siku AMANI ikitoweka si mwanaCCM au UPINZANI atakuwa salama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.