Aliwafanyaje?tcra= mgambo....mwendesha mashtaka..
hakimu...mnyapara...
mmenikumbusha enzi za magu akiwa uvuvi alichowafanyia wavuvi katkat ya ziwa....anatakiwa atubu
Ikitangazwa uongo TBC hakuna madhara kwani hakuna atakayeiona hiyo habariWaanze na TBC kwa kutangaza uongo
Hao wanaotuhumu na wao waende kujibu kwamba uchaguzi huo kwanini ulikuwa ni huru na haki badala ya kutoa mapovu mdomoni na kutumia maguvu!
Ondoa ukada kichwani mwako utamwelewaYaani nimesoma na kurudia tena na tena lakini bado sijakuelewa!!
Hiyo sio kazi ya TCRA.Kusema ukweli ni uchochezi?, either way, kwaninj wasiwachukulie hatua hao watu wa haki za binadamu waliotoa hiyo ripoti na ikarushwa?
Sheria zingine zisifuatwe bali kuboresha maisha tu?ngumu kweli kweli....wangejikita kwenye kuboresha maisha ya wananchi ...maisha yakiwa bora sidhani kama kuna mtu atakuwa na cha kusema!
Ni kwali sio kazi yao. Ni government machinery gani ilikichukulia hatua Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ili ionekane kuwa kilitenda kosa la uchochezi?Hiyo sio kazi ya TCRA.
Uzi huu ni wa TCRA anzisha uzi wako utakaohoji hilo kila mtu anefanya upande wake.Ni kwali sio kazi yao. Ni government machinery gani ilikichukulia hatua Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ili ionekane kuwa kilitenda kosa la uchochezi?