Recent content by ELNIN0

 1. ELNIN0

  Sanduku la Agano liko wapi?

  (Kama ilivyoandikwa mtandaoni...) Kilichotokea kwa sanduku la Agano ni swali ambalo linavutia sana wanatiolojia , wanafunzi wa Biblia, na wanaakiolojia kwa karne nyingi. Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, Yosia, mfalme wa Yuda aliamuru waangalizi wa sanduku la Agano wairudishe hekalu...
 2. ELNIN0

  Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

  Kukaa kimya nayo huwa ni busara, kuliko kubeza maoni ya wenzako waziwazi kabisa.
 3. ELNIN0

  Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

  Ni mamemo ya matumaini makubwa mno kutoka kwa Rais Biden, ni muda sasa wa marais wa kiafrica kukaa chini na kutafakari...kuachana na kutamka maneno matamu yenye matumaini ya kukuza demokrasia na utawala bora huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa. "The future belongs to those who make their...
 4. ELNIN0

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

  Lissu karibu sana Tabara kwetu, wanyamwezi ni watu wakarimu mno..... hapa ndipo chimbuko la wapigania haki na demokrasia ya kweli walitokea hapa.... Kijiji cha Ipole Sikonge ndipo alipozaliwa na kuzikwa Mwanamapinduzi nguli... Oscar Kasangatumbo (R.IP) ambaye alikuwa miongoni mwa waasisi wa...
 5. ELNIN0

  Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

  Mungu amewafumba mambo mengi ili mapenzi yake yatimie! Spiritual Powers huwa si za mchezo ndugu zangu. Wote tunashangaa huyu mtu aipenyaje penyaje kwenye vetting ya chama.
 6. ELNIN0

  Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

  hoja za Lissu ni kaa la moto!!
 7. ELNIN0

  TANZIA Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu

  RIP Mzee wetu, utakumbukwa mno hasa kwa hoja yako nzito ya kuidai Tanganyika huru!!
 8. ELNIN0

  Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

  Kama USA wana uwezo wa kuwalipa posho ya kuishi wananchi wao wasio na kazi sasa umaskini uliokithiri unatoka wapi?
 9. ELNIN0

  Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

  ha ha ha ha Mkuu umemaliza sina swali.
 10. ELNIN0

  Jambo jema: Mipaka ya Tanzania bara inajifunga yenyewe kutunusuru na Corona

  safi mkuu, unanikumbusha sisi kina baba kwamba kina mama wakipima negative wakati wa kujifungua basi automatically na sisi ni negative. .
 11. ELNIN0

  Tume huru ndiyo silaha ya mwisho, isipopatikana ndio mwisho wa upinzani Tanzania

  Madai ya Tume huru ya uchaguzi ni mwiba mchungu mno kwa CCM.
Top Bottom