Recent content by ELNEY

  1. E

    Wanaojua fixed match?

    Mkuu PM kimyaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu ndio mpango wangu kuanzia MWEZI Wa tisa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Ushauri wa busara

    Hahaaaa....umeua mkuu yani hapa nipo confused sana na masuala haya ya mapenzi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    Ushauri wa busara

    Yamwage hapa mafunzo hayo tiririka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    Ushauri wa busara

    Alikufanyia nini mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Ushauri wa busara

    Mahari sio shida sana but shida uongo wake alioufanya ndio mana anashindwa hata kasema sababu ya kufanya hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. E

    Ushauri wa busara

    Sanaa sio mchezo aisee Parefu ila kwa maisha ya siku hizi sio Parefu sana mana maisha yamepanda sana ila nimeumizwa na uongo wake halafu mbaya zaidi hadi leo zaidi ya mwezi anaomba msamaha lakini sababu ya kosa hasemi ndio shida hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    Ushauri wa busara

    Kwanini muogope kuwa wazi hamjui kama itawagharimu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hili tangazo lako aisee kama fixed match zinauzwa kama njugu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    Ushauri wa busara

    Mbaya zaidi tangu tukio litokee mpaka leo zaidi ya mwezi anaomba msamaha lakini sababu ya kosa hasemi ndio shida hapo na mimi nimwembia kuwa Ukisema sababu ya kusema uongo ndio ntatoa decision Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    Ushauri wa busara

    Mkuu sio kuoa Bikra bali the way jinsi yeye alivyojicommit kwangu kuwa hamna sex mpaka ndoa alijua mimi ntashindwa kuvumilia na sijawahi hata mgusa titi dini sana alikua mwisilamu swala tano ila akaja hadi kubadili Dini kwa sababu yangu mwisho wa siku nimeona uongo mtupu Sent using Jamii Forums...
  12. E

    Ushauri wa busara

    Funguka hapaa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    Ushauri wa busara

    Kwanini uogope mana mimi mtu akiwa open ndio naona safi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    Wanaojua fixed match?

    Ndio ninachojua mimi kuwa siku hizi utapeli kila kona
  15. E

    Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

    Sio mchezo aisee
Back
Top Bottom