Kama unaongelea waliosomea degree ya lugha ya kiengereza sawa. Lkn kuna watu wanachukua degree hazihusiani kabisa na iyo lugha. Kwa mfano kama ukichukua degree ya lugha ya kiarabu itakuwaje
zanzibar, ukimchukua dem na ku DO nae, mzenj lkn sijui wa kutoka bara, kama hajafika miaka 18, basi utapewa kesi ya kutorosha na kumuingilia kinyume na maumbile hata kama hukumuingilia kinyume. Ndio maana mnasikia sana kuhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, lakini kiuhalisia sio kweli.
Ungevunjika muungano kila mtu akawa kwake, hayo mambo yasingekuwepo. Sehemu zote unazosikia kuna vikundi vya kuitwa Vya kigaidi basi kuna Uingiliwaji mkubwa wa nguvu katika Serikali zao na nchi zao kwa ujumla, hasa kutoka nje, au propaganda zilizopandikizwa ndani ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.