Tatizo wakuu mnapenda watu ambao siyo type zenu ukitakaa kuenjoy mapenzi jitaftie quantity moja yaan nakuambia utaenjoy ila ukimtafta mtu ambaye hamuendani lazma akuumize yangu ndo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanafuzi, nategemea kumaliza chuo mwaka huu ila lengo langu kubwa ni kufanya biashara hapa mjini na sitaki kurudi nyumbani.
Naomba mwenye uelewa na mawazo kuhusu biashara za viatu na cosmetic.
Naomba tushare mawazo ndugu zangu ili nijue naanza vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.