Recent content by elly5

  1. E

    Usiingie kwenye biashara kwa mihemuko ya semina na mifano ya akina Jack Ma, Bii Gate na Jeff Bros

    Binafsi naamini motivatinal speakers ni muhimu kuwatoa watu gizani nakuwaamsha huwa hawakufundishi kitu kipya unafundishwa vitu vile vile we unaamua uchukue kipi na kip ukiache ,hawawezi kufundisha kila kkitu kama ilivyo elimu hatufundishwi kila kitu darasani mengine utajifunza mtaani,hata...
  2. E

    Usiingie kwenye biashara kwa mihemuko ya semina na mifano ya akina Jack Ma, Bii Gate na Jeff Bros

    Kila kitu kina strengths na weekneses ,,binafsi wamenisaidia sikuwahi fikiria kama naweza kufanya biashara Lkn baada ya kuhudhuria semina hizi chuoni kwetu Mzumbe niliyachukua niliyoyaona yananifaa nikanunua na kitabu kimoja tu ,,baada ya kumaliza masomo mwezi July nimeingia ulingon mambo...
  3. E

    Baada ya kuhitimu chuo uliendeshaje maisha?

    Nashukuru sana kwa mawazo yenu nimejifunza mengi ,Mimi pia nimehitimu hapa Mzumbe mwaka huu ,nimebaki hapa hapa napigana nakumbuka nilikuwa nimebaki na 80 alfu tu lakini mpaka leo hiyo nimeizungusha nimelipia chumba na nakula humo humo na bando cha msing NETWORKING NA KUTOCHAGUA CHA KUFANYA NA...
  4. E

    Usikate tamaa

    Pamoja Mkuu JKT walinitengenezea uvumilivu na kuishi maisha yoyo,chuo kikuu Mzumbe kimenifnya always kuwa bsy tuzd kupambana
  5. E

    Usikate tamaa

    Asante! Mimi nimehitimu mwaka huu kwetu sijarudi Niko tayari kulala njaa gheto KULIKO kula ugali wa bure. Nna pesa kichele tu na naifanya biashara sina wasi life linaenda
  6. E

    MY SHORT LEGEND.

    pamban Kijana maisha sio shule tu Fanya kazi kwa bidii usiumie vichwa sana na shule cha msingi now,tumia akili yakk ya kuzaliwna kipaji na alichokupa Mungu "shule zpo tu utasoma ,usikate tamaa
Back
Top Bottom