Recent content by EllQ

  1. E

    JamiiForums Tanzania Fibroids, uvimbe kwenye kizazi unaowatesa wanawake wengi Duniani

    Duuu hii duniaaa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Vyuo Vyuo hivyo hamna anayesoma miaka kumi.Wanaosoma miaka kumi ni Open University na Mlimani kwenu hapo mkuu😃😃
  3. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wew huoni allyepost.Huoni kuanzisha post.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

    Vipi Mkuu ulishahitimu hii MA Linguistics.Nenda Zambia naona Kuna unafuu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Mkuu majibu yote hapo ni uongo hiyo topic iko std 3 Syllabus mpya . Majibu yote hapo ni HAVE. Ukiwa na maswali zaidi English na Kiswahili kwa darsa la Tatu EMS.Karibu DM utasidiwa.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    anzia hapo hapo adult IAE.Nenda kwenye shule physically humu huwezi kupata kazi bro.Nenda shule Kwa shule pia usijifunge kuomba secondary tu nenda shule za English medium katafute kazi huko maana shule nyingi za sekondari private wanajitafuta costs za uendeshaj ni kubwa wanafunzi wachache...
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

    Sawa karibu hamna shida boss.Litakwisha tu.
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

    Pole sana dada nimewahi kutana na Hali kama hiyo. Kuwa makini sana hiyo ni Spirit ukiendekeza hata ukipata mwingine itakuwa hivyo hivyo utashangaa kila ukipata Hali inaendelea hivyo ,Changamka 35+ ni hatari.Kwa ushauri zaidi DM nimeoa na nimexperience hiyo kitu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

    Mimi ni Mwalimu mwenzio tena Arts nimemaliza miaka michache ilopita. Ushauri wangu ,maliza shule Kwanza Mimi nimepitia huko pia huwezi kupambania Elimu zaidi miaka 15 kisha uishie njiani eti ukaanze kulima Mafanikio hayako hivyo fanya jambo kwanza likamilishe unaweza usione matunda yake Leo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Si ndo kama Mlimani Babu panakimbiwa na baadhi ya watu kama sisi labda DUCe kdogo
Back
Top Bottom