Recent content by Ellen76

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, simu zenu zina nini?

    Na mimi nasubiri hayo majibu yao kwa hamu
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yasiyostahili kumwambia mwenza wako

    "Wanawake wazuri kibao wananililia", toka siku hiyo na hisia juu yake zilipotea, nipo tu kwa ajili ya wanangu.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 90% za ndoa Tanzania zinapumulia limbwata

    Unauliza jibu?
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa, mke wangu amekuwa jeuri na kiburi mpaka nachanganyikiwa; natamani kuvunja ndoa!

    inawezekana kagundua una mwanamke nje labda kwa kuambiwa au kuchungulia simu yako.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Ndiyo ndo hii hujirudia kama siyo kushindwa kushuka au kupanda mlima, basi inakuwa nashindwa kuvuka kwenye daraja au nashindwa kushuka ngazi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    NDOTO hii au ya aina hii hujirudia mara nyingi sana kama siyo mlima, inakuwa daraja au ngazi. mfano leo ilikuwa ngazi, zimesimama wima, ukianza kushuka kama zinacheza cheza, nikijaribu kushuka naona kizungu zungu nakaa pembeni watu wengine wanapita tu bila wasiwasi, na wakati huo huo Mr. wangu...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    AMINA, ndugu ahsante kwa ushauri
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Hizi ndoto hujirudia, km siyo mlima, daraja au ngazi. Mf. Leo ilikuwa ngazi za kushuka zimesimama wima, watu wanapita
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumsomesha mchumba wako?

    BIG NO, Si kweli, mimi nina wadogo zangu 2, wote walisomeshwa na wachumba na wakaolewa nao, ni tabia tu ya mtu + malezi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Tena hivi hivi tyta, na cha ajabu wengime wanakuwa wanapita bila wasiwasi, mi nashindwa hadi naahirisha safari
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Fanya kama unamtumia tu usimuweke sana akilini asije kukuumiza baadae sababu hachelewi kubadilika.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Si shabiki wa mpira hta kidogo
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Habari wana MMU, Nimekuwa nikiota ndoto, nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani au ngazi. mfano leo nimeota ngazi, ilikuwa mchana na watu wengi tu wanapita mimi nikiwa na mr. tulipofika sehemu ya kushuka hizo ngazi sasa ni nyembamba imesimama wima na anapita mtu...
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume punguzeni kulalamika

    Bora umefunguka mana wamezidi utafikiri wamelazimishwa!
Back
Top Bottom