Recent content by ellah

  1. ellah

    JamiiForums Tanzania Shujaa wangu mimi 2014, Mama achambua matembele ndani ya daladala

    Anasave time u never know ana njaa kiasi gani? Sasa mpaka afike nyumbani aanze kupika utumbo si utakua umeshakifunga.
  2. ellah

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Mahawara Please Muwe Makini sana

    Naomba namba ya huyo dada na me anipeleke huko. Maana mnasumbua sana nyinyiii
  3. ellah

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Hii nchi inatakiwa Dar es Salaam nzima tuandamane... Kuonesha ni kiasi gani wananchi tuna hasira na wizi wao. Tunakua kama wajinga kila siku tunaskia wizi lakni hatujui hatma na muafaka wa hayo matukio. Tusiishie tu kuongea
Back
Top Bottom