Recent content by Eljn

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kusema eti ukikipenda kitu unachokifanya utafanikiwa yaani kitakutoa, ualimu haunipi mafanikio

    Sahau kabsa kufanikiwa,huo msemo unautafsiri tofauti kabsaaaaa ukipenda unachofanya sio mambo ya kuajiriwaaa apo ungesema unapenda unachofanya kama unngeanzisha evening classes au tuition ambayo ipo chini yako ndio ungekuwa unapenda unachofanya maana mafanikio ungeyapata kwa sababu wanafunzi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Hii biashara nimeifanya na mwez wa tatu huu,sema ukweli ukiwa naa location nzur utapata pesa ya kula hukosi,mm na kimtaji changu cha ml 1.5 napata faida had ya laki 4 per month lkn apo unakua mjanja saiv unatumia na lipa kwa lkn mtu akiwa na mtaji kuanzia ml 5 ad 7 kwa uwakala tu wa mitandao...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

    Wasimsumbue dogo watuliee
  4. E

    JamiiForums Tanzania Bweni la Shule ya Sekondari ya Bwiru lateketea kwa moto, Wanafunzi zaidi ya 70 wanusurika kifo

    Kama n bwiru boys bhas sababu n connection hyo Simu nyng saiv shule na sehemu ya kuchaj hamna n kuconnect kmagendo tu Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kuhamia Dodoma, nitoke huku niliko.

    Dodoma njoo uku unaconnection ya kufikia,na mwenyej wa kukupa michongo inayoendelea wanavyuo wanaosomea udom wengy wao hamuijui ddma vzuri maana hamchangaman Sana uraian, Cha msingi tafuta mwnyeji kuusu chumba vipo ad vya 20k wasikutishe lkn kzuri n kuanzia 50k
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Madini/wafanya biashara za madini

    Kaka Mimi nahitaji maelekezo zaidi kuusu hii biashara ya madini kwa vile umeweka namba nitakutafuta
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

    Bwaibwai tulien tuwanyoosheeee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Chombo kipi TBC1 au Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom