Sahau kabsa kufanikiwa,huo msemo unautafsiri tofauti kabsaaaaa ukipenda unachofanya sio mambo ya kuajiriwaaa apo ungesema unapenda unachofanya kama unngeanzisha evening classes au tuition ambayo ipo chini yako ndio ungekuwa unapenda unachofanya maana mafanikio ungeyapata kwa sababu wanafunzi...
Hii biashara nimeifanya na mwez wa tatu huu,sema ukweli ukiwa naa location nzur utapata pesa ya kula hukosi,mm na kimtaji changu cha ml 1.5 napata faida had ya laki 4 per month lkn apo unakua mjanja saiv unatumia na lipa kwa lkn mtu akiwa na mtaji kuanzia ml 5 ad 7 kwa uwakala tu wa mitandao...
Kama n bwiru boys bhas sababu n connection hyo Simu nyng saiv shule na sehemu ya kuchaj hamna n kuconnect kmagendo tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Dodoma njoo uku unaconnection ya kufikia,na mwenyej wa kukupa michongo inayoendelea wanavyuo wanaosomea udom wengy wao hamuijui ddma vzuri maana hamchangaman Sana uraian,
Cha msingi tafuta mwnyeji kuusu chumba vipo ad vya 20k wasikutishe lkn kzuri n kuanzia 50k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.