Recent content by elizabethkidoti

  1. elizabethkidoti

    GE2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Wananchi tuliobeba maboksi ndio mtatujua mwaka 2020 kama bungeni mnapaona wapinzania ili muendelee kupinga na mabichwa yenu mitaani
  2. elizabethkidoti

    GE2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Tupo hapa nje ya uwanja tunashindwa kuingia watu wamejaa sana jamani sijui kama nitamuona huyu Magufuli. Anapendwa sana na wananchi wa hapa Urambo. Mitano ya Ushindi heko kwa CCM
  3. elizabethkidoti

    GE2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

    Habari njema kwa wanaCCM hii Hakika aliyejitoa anahitaji pongezi maana ametupatia kitu kwa wepesi sana Sasa pesa za Kampeni tuelekeze katika utatuzi wa kero za wananchi.
  4. elizabethkidoti

    GE2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    Safari hii Viti maalum acha wapambane tu maana walizoea kupata mteremko bila kupambana CCM wamewanyoosha sasa. Dkt Bashiru Ally Oyeeeh......
  5. elizabethkidoti

    Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    2020 Ni Magufuli tena Watanzania hatuwezi kupoteza huyu BABA kutoka Chato Wapinzania wakae kwa kutulia kwanza mwaka huu sio ni zamu ya Magufuli
  6. elizabethkidoti

    GE2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    Huyu ndio Dkt Magufuli mgombea wa Chama cha Mapinduzi na kipenzi cha Watanzania wa rika zote. 2020 ni zamu yake tena bado Watanzania tuna IMANI kubwa na yeye. Tijitokeze kwa wingi kupiga kura kwa CCM na Dkt Magufuli amefanya mengi makubwa.
  7. elizabethkidoti

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    TUNA JAMBO LETU ZANZIBAR KAA KWA KUTULIA CCM NI CHAMA IMARA YAJAYO NI NEEMA ZANZIBAR YA DR HUSSEIN MWINYI
  8. elizabethkidoti

    ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    PESA ZA UCHAGUZI ZIMEMUISHIA ANAENDA KUKOPA KWA MABEBERU HIVYO LAZIMA MKAE KWENYE MEZA YA MAKUBALIANO
  9. elizabethkidoti

    GE2020 Zitto aifuta CCM Kigoma

    Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
  10. elizabethkidoti

    GE2020 Kishindo cha Magufuli Sekta ya Viwanda, Kilimo, Uvuvi na Ufugaji

    Mtumishi gani amepauka ?wakati mishahara wanaingiziwa on time kuanzia tarehe 20s mambo yanakuwa mazuri Safari hii mambo mazuri na tutamchagua tena Dkt Magufuli ili kuongeza mishahara project kuwa zikiishia
  11. elizabethkidoti

    GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA: Kuweka madini kama dhamana ya mikopo kunaleta ukakasi

    HAWA WATU SIKU WAKIPEWA HATA KANDA TU WATUUZA UWIII KATAA HIKI CHAMA KUSHIKA NCHI NI HATARI KWA RASILIMALI ZA NCHI YETU. OKTOBA 28 SIKU YA KUPIGA KURA CHAGUA CCM CHAGUA MAENDELEO YA KWELI YENYE KUHESHIMU RASILIMALI ZA NCHI YETU
  12. elizabethkidoti

    GE2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

    Huyu Mwl wa Zanzibar anapata vipi watu huku bara yaani hana mvuto wa kisiasa kabisa sijuagi hata huwa anaongea vitu gani jamani..... Ndio maana huyu kwengine sijisumbui nabaki na Chama cha Mapinduzi acha Nisubiri tarehee nikamchague Dk Magufuli.
Back
Top Bottom