Recent content by Elizabeth Eliase

  1. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Glory be to God for you
  2. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    God be with you our hirror
  3. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyanyuka, aanza mazoezi; kutoka Hospitali Nairobi wakati wowote

    God is really great ampe uzima mara zaidi. Amina
  4. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya kabla ya kuanza biashara

    Tnx alot be blessed
  5. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kweli jamani msaada hilo swali ni muhimu pia kwangu, kuyatambua mayai bora
  6. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba ushauri wenu kuku wangu wanataga mayai mengi kwa mfano anaatamia mayai 12 na anatotoa vifaranga wachache sana msaada wenu wapendwa wangu nini shida zaidi?
  7. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa wale wafugaji wa kuku

    Habari jamani, nduguzangu poleni na majukukumu, naomba msaada wenu kuku wangu wana shida moja, kwenye kutotoa ukute kuku ana mayai 12 lakini anatotoa machache Sana naombeni msaada wenu juu ya hili.
  8. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Sorry namaanisha ana uwezo wa kutaga mayai mangapi na means ya kutotoa ni ipi? ambayo ni nzuri.. Ahsanteni
  9. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Samahani wapendwa wangu naomba mnielimishe kanga ana uwezo wa out against mayai mangapi na je ana uwezo wa kutotoa? au Hana?
  10. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Sawa nashkuru
  11. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JamiiForums mwenzetu Demi amefiwa na baba yake mzazi

    Pole sana mwaya Mungu Skype faraja katika wa Kati huu mgumu
  12. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JamiiForums mwenzetu Demi amefiwa na baba yake mzazi

    Ee Mwenyezi Mungu ilaze roho yake mahala penalty peponi Amina... Na uwape faraja wafiwa wote na mwanajamvi mwenzetu katika kipindi hiki kigumu cha majority.. Amina.
  13. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Jamani wana jamvi wenzangu kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwa upande wa mawasiliano niwasiliane nao moja kwa moja naombeni msaada tafadhali.
  14. Elizabeth Eliase

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Nashukuruni sana wapendwa wangu Mungu azidi kuwapa maarifa na hekima.
Back
Top Bottom