Ndio Clinic pekee ya NATUROPATHIC hapa Tanzania, tunatoa huduma za kitaalam na kwa kutumia herbs na food supplements, Naturopathic Doctors wetu watakufanyia body screening ili kujua chanzo cha tatizo lako kiafya , nutritional therapies, kwa pamoja tutatengeneza mfumo wa matibabu unaolingana na...