Recent content by Eliza Maswanya

  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Hata tovuti za kiserikali kiukweli hazijakuwa na mvuto watu hawapendi kabisa ku_access taarifa kutoka huko
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    Kikubwa ni kuwa yafike mahali
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    Ninafuatila maandiko yako uko vizuri
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Wakuajiri tu wizaraniii, naona unafikiria mbali
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Haya madini vijana msiishie kuyaandika huku tu fanyeni kila njia yapenye kwa wahusika. Andiko zuri by the way
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    Tena, kwenye suala la vijana wanaofanya vumbuzi mbalimbali ndio la kutilia mkazo, kuna yule kijana aliyekuwa na Redio yake kule Kigoma asiishie tu pale serikali impeleke mbali zaidi maana ana kipaji kikubwa sana. Hongera kijana kwa kufungua fikra zetu.
Back
Top Bottom