Kuna influence ya huo uharibifu ambayo kwa akili ya kawaida ni ngumu kujua, mipango imepangwa kwa akili kubwa sana na ikapangika, tunajikuta tunaangukia mulemule.
Suluhu ya hili tatizo la underdevelopment katika nchi za Africa, kwa sasa lipo mikononi mwetu. Ijapokuwa hatutapata faida ya papo kwa hapo, lakini tuviweka vizazi vijavyo katika nafasi nzuri ya kujinasua kwenye huu mtego.
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.
Ni sawa waliumia,
lakini waliumia kwa namna nyingine, factor kubwa inayosababisha ongezeko la bei ni bei ya umeme kwa unit.
Tanzania tungeweza kufua umeme kwa wingi na kuuza kwa bei ya chini ingesaidia sana kupunguza mfumuko wa bei na kuhamasisha ongezeko la viwanda kwa wingi sana.
Ahsante sana kwa post yako.
Ningependa pia kuuliza;
Mtu ukichaguliwa diploma hapo UDOM, kuna haja ya ku-confirm..?
Au Ku-confirm ni kwa Degree pekee..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.