Recent content by Elishachupa

  1. Elishachupa

    Nahitaji kutunza report za research kwenye database naombeni muongozo

    Wataalamu nahitaji msaaada nahitaji kutunza report za research kwenye database naombeni muongozo.
  2. Elishachupa

    Wataaalam wa code, nahitaji mawazo yenu kutengeneza programu

    Yaani tusimudhuie kuludia title hata kama akiludia title ila asikopi kila kitu kilichoandikwa na mtu aliyekeisha fanya hyo reserch
  3. Elishachupa

    Wataaalam wa code, nahitaji mawazo yenu kutengeneza programu

    Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research. Ina maana research zote zilizofanywa zitatunzwa ahlafu kama mtu akirudia basi program igundue
  4. Elishachupa

    Nimemaliza Degree ya Education, naweza kufanya Postgraduate ya Computer Science?

    Habarini wakuu naomba msaada Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11 za computer science
  5. Elishachupa

    Wataalamu wa Data base naomba nisaidiwe tatizo hili

    Jamani wataalamu wa data base nikikuwa na submit data kwenye data base kwa kutumia html form Kila niki submit inaleta fetal error Kam hivo mimi bado najifunza ko nambie tatizo nifahamu
  6. Elishachupa

    Naomba kujuzwa code ambayo ina connect HTML form na MYSGL

    Anaejua Aniandikie code ambayo ina connect html form na mysql. Kila nikijaza form in display error tu
  7. Elishachupa

    Msaada: Naomba ushauri wa programming language ya kutumia

    Nahitaji kutengeneza program ambayo itakuwa inaruhusu watu kuchati online na message kila mtu aione. Kwa anaejua nitumie language ipi?
  8. Elishachupa

    Web development

    Ok sawa pia ukifingua website watu wanaokutembelea wanakupa faida gani
  9. Elishachupa

    Web development

    Kwa kawaida web development unaijua kwa mda gan kama unajifunza
  10. Elishachupa

    Website DesiGn.

    Kwa kawaida web development unaijua kwa mda gan ukiwa unajifiunza
  11. Elishachupa

    Tumejipangaje kukorofishana na makampuni makubwa?

    Aisee mkuu nidirectiwa kwako kuhusu web development
  12. Elishachupa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Ok mbona page haifunguki mpaka mwisho
  13. Elishachupa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief nisaidie nataka kujifunza web development.msaada mkuu
Back
Top Bottom