Recent content by Elisha

  1. E

    Gwaride la China 1949 Vs 2025 Tusikate tamaa Watanzania

    Tatizo letu we are speeding in a wrong direction!! Ngoja tuone!
  2. E

    Polepole anakabia juu. Mnoo, machawa wanakanyagana tu

    We Rostam weweeee...! Mungu anakuona!
  3. E

    Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi

    Hela haijawahi kutosha mkuu! Mtu mwenye tamaa hajawahi kuridhika!
  4. E

    Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi

    Viongozi wetu wana tamaa ya hela! Wanatongozeka kifala sana na huyu bwana! Ni vitu vya aibu!
  5. E

    Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Umetumia akili! Nami naunga mkono hoja!
  6. E

    Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    Linatisha! Anyway, ngoja nikubaliane na ukweli huo mchungu! Ahsante sana kwa ushauri!
  7. E

    Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    Naomba namba tatu ibaki kuwa "Tendo la Ndoa" badala ya ngono
  8. E

    Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

    Loooh! Nadhani umemaliza mkuu! Wasipokuelewa, si waelewa!
  9. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Yeye yupo ambaye yupo!! Yeye hakuumbwa na mtu! Anaitwa, "Niko ambaye Niko" Yeye ni Yeye Yule, Jana, Leo na hata Milele!!
  10. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Na wazazi wako walitoka wapi? Vipi kuhusu wazazi wa wazazi wako? na wazazi wa wazazi wa wazazi wako walitoka wapi?? Vipi kuhusu wazazi wa..... Walitoka wapi? Ukiona vyaelea vimeundwa!! Yupo alikuumba mkuu! Hukujiumba ndugu!
  11. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Kwahiyo wewe ulitoka wapi ndugu?
  12. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Ubarikiwe sana mkuu kwa mchango wako!
  13. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa...
  14. E

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!

    Mi nadhani kila tunachofanya, kiliwekwa kifanyike kwa ajili ya utukufu wa Mungu!! Kwa kifupi, dhumuni kuu la maisha yetu hapa duniani ni KUMTUKUZA MUNGU! So, kila tunachofanya ni lazima kiwe kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Hata siasa iliwekwa ifanyike kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Kama watu...
Back
Top Bottom