Recent content by elisha mbasha

  1. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    jaman inawezakana kabisa huo ni mwendo kasi ukiangalia hapo ajali hiyo imekueje
  2. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Mfanyabiashara aliyehamia Zambia abaki huko huko hakuna shida

    tunamuhitaji Mungu zaidi Tanzania
  3. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Wananchi katika baadhi ya Miji mikubwa waandamana kupinga ushindi wa Rais Mteule, Donald Trump

    wadau niulize swali sasa kwa hawa waandamanaji watatumia mabomu ya machozi kama Tanzania au?nipeni majibu
  4. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania BOSNIA: Mwili wa mtoto wavuta vyuma kama sumaku

    duuh ajabu
  5. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania European Space Agency confirms Mars lander has been lost

    ila hawa wanasayansi watatuletea mataizo kunakitu gani wanataka huko basi wakajenge kanisa angalau huko ili wamwabudu Mungu
  6. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

    mimi kwa mtazamo wangu nafikiria kuwa huyu jamaa yamkini waliyo mzushia si ya kweli kwake hakuyafanya yeye ndio maana sheria imechukua haki
  7. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga

    duuuh watu wawe na adabu jamani unga wa watoto unapotea hivihivi duuuuuuh
  8. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    kikubwa vyeti vyake vichungunzwe utata uishe
  9. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania DC awatupa lupango mkurugenzi, mhasibu Halmashauri ya Sengerema

    sawa kabisa sizani kama angewaweka ndani kwa kujifurahisha lazima kunasababu tu
  10. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amejua kuwa namsingizia mtoto, lakini pia ameshindwa kumkataa

    cha msingi ww tubu kwanza kwa MUNGU kisha mueleze ukweli maana anajua kilakitu pia mwanaume kinyongo chake huwa hakiishi na ww dd mm sijui ww ni dini gani mbona wapo watumishi wakubwa wa Mungu manabii ndani ya nchi na nje ya nchi ulishidwa nn kwenda kwao upate suluhisho? ss basi tafuta watu...
  11. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    ssibonike hapo nakuunga mkono kiukweli wwngine ni msongo wa mawazo tu haujakaa sawa ndio maana
  12. elisha mbasha

    JamiiForums Tanzania Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

    hizi nyakati ni za mwisho wanawake wazama hawezi kufanya mambo kama haya
Back
Top Bottom