Recent content by Elisha Chuma

  1. Elisha Chuma

    Kujali kunaanza na wewe kujijali kwanza

    KUJIONA | KUJIPENDA | KUJIJALI Jambo lolote unalohisi haupewi ni kwa sababu hauna, ukiona mtu analalamika hapendwi ndani yake yeye ndio upendo hamna, mtu akisema anadharauliwa ndani yake dharau zimejaa, vivyo hivyo kwa kupoteza kipaumbele chako mwenyewe. Hii ni kwa sababu ukiwa na kitu ndani...
  2. Elisha Chuma

    Ijali afya yako ya akili kama unavyojali afya yako ya mwili

    Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno hapana ni gumu kulitoa hata kama unaona haiko sawa tambua ubora wa afya yako ya akili una shida kuna...
  3. Elisha Chuma

    Ubora wa afya yako ya akili

    Ni kweli kabisa na watu kwavile hatupendi majukumu tunamuacha aendelee, sio shida zetu kumbe baadae anaweza kuja kuathiri kizazi chako bila hata wewe kutegemea.
  4. Elisha Chuma

    Ubora wa afya yako ya akili

    UBORA WA AFYA AKO YA AKILI. Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa ambapo imani hii inawafanya hata wanapokuwa hawako sawa wanaona ni kawaida. Lakini kwa uhalisia...
  5. Elisha Chuma

    Mapambano ya sirini

    Na ukikutana nao ni kama hawana madeni, sirini wanasumbuka ila machoni ni kama wako sawa…tujitahidi tu kuwa wakarimux
  6. Elisha Chuma

    Mapambano ya sirini

    Na kwako pia
  7. Elisha Chuma

    Mapambano ya sirini

    MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
  8. Elisha Chuma

    Kufanikiwa kunakuja haraka kwa kuwanyanyua wengine

    Wanainuana kwa kupeana nafasi za ajira na fursa, kwa watu wa mzunguko wao hivyo kwa aliefanikiwa utakuwa ameshawasaidia kupata kazi watu wengi ambao wako kwenye mzunguko wake wengi, hii inaweza kuwa moja kwa moja kwenye kazi yake ama sehemu nyingine alipoona fursa ipo ya mtu wake wa karibu...
  9. Elisha Chuma

    Kufanikiwa kunakuja haraka kwa kuwanyanyua wengine

    Kunyanyuka kwako kunakuja kwa kuwanyanyua wengine, usipambane sana kutoka wewe mwenyewe kwenye mzunguko wako, utarudishwa nyuma sana na kulalamikia sana wengine kwa sababu utaona wanafanyika mzigo kwako, lakini hebu jitahidi unaponyanyuka mshike mkono na mwingine/wengine mara nyingi uwezavyo...
  10. Elisha Chuma

    Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Kwahiyo kuna haja ya kumjua shetani zaidi ya Mungu, sio kwamba kwa vile Mungu alishamshinda shetani tumtumie yeye na mbinu zake kumshinda. Na hakuna mahali shetani amechukuliwa poa ndio maana imeandikwab anaunguruma kama simba hii ikionyesha mfano wa mnyama, siha na uwezo wake lakini Yesu...
  11. Elisha Chuma

    Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  12. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Ndio asiekuwa na elimu ni mjinga. Mjinga ni mtu asiekuwa na eulewa ama maarifa ya kitu,ujinga sio tusi ni hali ya kawaida kwa kila mtu. unaweza kuwa mwerevu hapa ila ukawa mjinga kule ni hali ya kawaida, sasa ikiwa umepata elimu (Maarifa) ukishindwa kuitumia ni mjinga pia. Na pia Elimu sio...
  13. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Ni jambo la kufikirisha, lakini likiwa na maana tunalitafutia ufumbuzi. Unadhani ipi itakuwa njia bora ya kuondoka huko kwako na kwa kila mtu?
  14. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Kila mtu anazaliwa na akili na uwezo wa kutambua mambo, lakini unapopokea elimu ni kuongeza maarifa ya kulitambua jambo kwa undani zaidi, usijifungie kwenye chumba cha makaratasi ya uthibitisho kuwa ndio elimu yako, ila tumia uwezo na maarifa kuwa ndio elimu yako.
Back
Top Bottom