Recent content by Elineema J Mosi

  1. Elineema J Mosi

    Kamati ya Maadili yamsimamisha Stephen Masele kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge. Spika Ndugai apendekeza asamehewe

    Ndugu zangu, kwa unyenyekevu kabisa tunaomba Spika aonyeshe kwa vitendo na kwa adhabu atoazo kuwa upinzani sio wanaokosea tu hata ndani ya ccm wapo wanaokosea. Adhabu kwa MH.Masele kuomba mwenyewe asamehewe ni ishara ya mhimili huo kukosa double standard katika kutoa adhabu. Tumeshuhudia...
  2. Elineema J Mosi

    Kamati ya Maadili yamsimamisha Stephen Masele kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge. Spika Ndugai apendekeza asamehewe

    Watu siku hizi wamekuwa walemavu wa fikra, sasa huu uzi unamantiki gani wakati haujabeba maudhui yote? Soma gazeti la mwananchi kwenye mtandao utapata vyooooote alivyosema Mh. Masele?. Mbioo zooote hizi za nini, uzi kwa kijinga kabisaa huu ufutwee
  3. Elineema J Mosi

    Arusha: Lema kuachia Waraka kwa Rais wake juma lijalo

    DUUUUUH SASA HIVI WEWE NI SDHABIKI WA LISSU, KWELI ADUI MWOMBEE NJAA
  4. Elineema J Mosi

    'Heri kufa nikiwa nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga magoti'',Maneno ya Mbowe.

    Wana Jamvini habari ya Chrismas, Ndugu zangu nimelazimika kunukuu hayo maneno ya Mh Mbowe am bayo aliyatoa siku moja alipotakiwa kukamatwa na jeshi la poilisi mjini Dar. Nilifarijika sana na maneno ya kiongozi wangu huyo kipindi hicho, hivi leo Mh Mbowe amepoa sana kiasi kwamba inaonekana...
  5. Elineema J Mosi

    Mtoa taarifa (Dkt. Mwele) 'ametumbuliwa', mficha taarifa huko Singida aswekwa rumande kwa saa kadhaa

    Mk Mkuuuu sijui familia yako ina mkosi gani na hii Awamu ya tano, Mama naye si alitumbuliwa?
  6. Elineema J Mosi

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Wana jamvini Nawasalimu. Mods msifute uzii huu. Nimesoma kwa makini maelezo yako na jinsi ulivyokuwa unajaribu kujibu hoja hasa hasa kuhusu Ben saanane. kwanza kabisa niwie radhi kwa haya maoni yangu juu ya hoja zako hizo ambazo hazina mashiko kabisaaa kwa swala la kupotea kwa Ben saanane...
  7. Elineema J Mosi

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tungeweza kufahamu japo kdogo kesi inahusu nini na sio mahojiano wala mwenendo wa kesi, ungetusaidia sana.
  8. Elineema J Mosi

    Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

    Yaani kuna ukweli mtupu hapa hasa chemba mimi ninawasiwasi naye sanaaaaaa.
  9. Elineema J Mosi

    Serikali ya awamu ya tano na dhana ya disillusionment kwa Watanzania

    Duuh naona umahiri wako katika uandishi.
Back
Top Bottom