'Heri kufa nikiwa nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga magoti'',Maneno ya Mbowe.

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
May 17, 2013
808
195
Wana Jamvini habari ya Chrismas,
Ndugu zangu nimelazimika kunukuu hayo maneno ya Mh Mbowe am bayo aliyatoa siku moja alipotakiwa kukamatwa na jeshi la poilisi mjini Dar.

Nilifarijika sana na maneno ya kiongozi wangu huyo kipindi hicho, hivi leo Mh Mbowe amepoa sana kiasi kwamba inaonekana amekubali kuishi kwa kupiga magoti?. Wananchiokonoa hadi machoni[ wanafikia hatua hadi ya msaidizi wake kupotea ila mzee yupo kimya tu]. Nalazimika kuamini kuwa sasa hivi Kiongozi huyu anaishi kwa kupiga magotiii.

Wanajamvini, sijui kama nyie mmepata nafasi ya kukumbuka haya au anaogopa ule usemi wa Mzee wa Lumumba kuwa Hajaribiwiiii!!!!??.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom