Recent content by elin

  1. elin

    JamiiForums Tanzania Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Shukran sana kwa usaidizi wako ndg yangu acha nifuate utaratibu huu🙏
  2. elin

    JamiiForums Tanzania Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Nimesahau password yangu nashindwa kuingia kwenye mfumo naomba msaada natatuaje changamoto hii?
  3. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwema mkuu! Acha tupashe pamoja [emoji120].
  4. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu tafuta muda utupe madini hayo tumpige kanji. Tunamdai hela nyingi sana hadi sasa.
  5. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kwenye direct win na both team to score umerudia code ile ile, naomba hiyo ya both team to score
  6. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu, next time weka tena hapa tusafiri pamoja [emoji120]
  7. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ime faint sana dada mkuu hakuna namna tuione vizuri? nakufuata hapa.
  8. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji3]
  9. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndg hii leo hukutoa tip ningekufuata [emoji91]
  10. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nikiongeza arsenal na liver kwa utaratibu huu nitapotea ndg?
  11. elin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najisajili vipi?
  12. elin

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Katika sekta ya ulinzi na usalama
  13. elin

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

    Huu mwisho wa mwaka kaka[emoji3]
Back
Top Bottom