Mkuu wewe ni noma...Biblia ina watu wengi type za akina Paul lkn wewe ukamua kumdissaprove Paul, what is your interest? Kingine Biblia inasema Yesu alikuja kuitimiliza taurat wewe unasema Kuitukuza asee!
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.
Hacha kutoa povu...kwa kifupi ni kwamba quran ina vifungu vinavyohalarisha haya matendo ambayo wengine wanayatafsiri kama uovu na ukitaka nitakuorodheshea mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la chumvi kufukuza siafu, nyoka, na preservation, sio swala la imani linaelezeka kisayansi kama pesticide na preservative. Chukulia mfano mafuta ya taa, mkojo wa binadamu vinafukuza siafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unapata shida kuweka imani yako katika chumvi na baadhi miti vilivyotengenezwa na Mwenyezi Mungu siku moja? Mungu mwenyewe katuhakikishia ulinzi wetu wa nafsi, mwili na roho zetu basi tuweke imani yetu kwake. Ukishafanya mambo ambayo ni kinyume na maelekezo ya Kimungu basi ujue...
Tapeli wa Matapeli wote ni shetani, sasa unashangaa nini mganga kuwa tapeli?
Duuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
DNA wanazo mpaka za ndugu yake, Kwa kuwa hawakukupa taarifa walipoenda kumkamata ndio maana hawakutaka kudisclose all evidence for his kill, it is simple like that. Nyie endeleeni kuamini hivo maana najua iliwauma sana hamkupenda kila kukicha mnatafuta reasons za kujifariji
Sent using Jamii...
Hayo maneno uliyocopy kwenye mtandao yanafanana kabisa na maneno ya wale watu ambao doctor anasema mgonjwa kafa kwa ukimwi wenyewe wanasema kalogwa. Na haya hayawekwepeki, kama hajafa si atoe sauti yake kama alivokuwa anafanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.